salaam wanajamii! kuna eneo la beach linauzwa lipo beach nunge plot no.39 bagamoyo. eneo lina hati na ukubwa wa hecta 3.424. ni eneo zuri linalofaa kwa makazi, hotel, shule/chuo na appartiments. Eneo ni tulivu lina mandhali nzuri yenye kuvutia, bei yake ni ml 800 kwa wahitaji tafadhari piga simu 0714 107 215 au 0714 104 788