Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 20x20

Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 20x20

Livanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
475
Reaction score
157
Wana JF habari za jumapili nauza kiwanja kipo maeneo ya kinzudi B. umbali wa kilomita 6 kutoka africana na kilomita 7 kutoka mbuyuni.
kiwanja kina ukubwa wa 20x20 kiko sehemu nzuri tambarare mitaa ipo pia umeme uko karibu sana. Bei ni millioni tano tu.
kama utaitaji wasiliana nami kwa 0714500004
 
Hakujapimwa ila ni cha uhakika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom