nahitaji nyumba ya kupanga.

nahitaji nyumba ya kupanga.

josby

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
85
Reaction score
1
salam wanandugu! nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vitatu vya kulala. Maeneo ya Sinza itakua vyema zaidi na isiwe mbali sana na barabara. Msaada wenu jaman nahitaji...
 
Nyumba zipo ila bei za sinza nazan unazijua, jiandae kwa lak 5 kwa mwezi na kodi ni mwaka
 
Umejianda anda aje? Maana sinza ya leo sio ile ya mwaka 47,waweza lipia 300 kwa mwezi? Mwaka mzima.
 
Mdau mimi niko nayo laki nne kwa mwezi nataka kodi ya mwaka mzima sitanii,,,
Siko nyumbani kwa sasa lakini jamaa zangu wako hapo na walimpangisha mtu kiasala
Mda si mrefu kodi yake itakwisha kama una uwakika unataka nyumba nitafute na nitawasiliana
na watu wa nyumbani
wakatabau
 
sawa ndugu, lakin huyo mtu anamaliza lini, kwasababu na mimi nimejipanga kuanzia wiki ijayo, na ipo maeneo gani?
 
sawa ndugu, lakin huyo mtu anamaliza lini, kwasababu na mimi nimejipanga kuanzia wiki ijayo, na ipo maeneo gani?

Jamaa anamaliza Nov mwaka huu sasa kama wiki ijayo nisikucheleweshe kutafuta kwengine,,cha msingi sihitaji dalali maana wamenisumbua sana......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom