twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Hi,Wanajamii.Kijana nimemaliza chuo nimetafuta kazi nimekosa so nimeamua kujiajiri na kamtaji kidogo.Naomba kama kuna mtu mwenye maelezo ya fremu maeneo ya sinza,mwenge au magomeni tuwasiliane 0715/0755 200221.Bajeti yangu ni elfu sabini kwa mwezi.Mungu awabariki..!