chumba/nyumba survey

chumba/nyumba survey

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,218
nahitaji chumba chenye maji na umeme maeneo ya survey dar es salaam..kisiwe mbali sana na barabara.
kikiwa ni self contained ntashukuru zaidi

mawasiliano 0755815174
 
Jaman wadau salaam! Na mm nilikua natafuta room survey huko au maeneo ya hayo, msaada
 
vyumba vinapatikana kwa gharama sana kipindi hiki. hawa watu sijui wanatarget wanafunzi au nini sijui..
 
kwa survey kaka ni tatizo yaan utaambiwa chumba laki lakini kilivyo kidogo ukiweka kitanda tu hupat pa kukanyaga
 
lakini naona sio lazima mtu apate chumba survey kwa mwanafunzi wa vyuo vya udsm au ardhi..hata maeneo ya mwenge mpakani pia sio pabaya sana maana ni basi moja tu mpaka chuoni na hakuna foleni njiani na yule wa survey pia nae ni basi moja tu toka survey mpka chuoni. kwaiyo anza kuangalia uwezekano wa vyumba hapo mwenge
 
ni kwel, mwenge maeneo hayo pia yako poa, tatizo ni upatikanaj tu, tunatafuta sana yaani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom