Nyumba inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kariba1, Sep 12, 2012.

 1. K

  Kariba1 Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyumba ya kisasa inauzwa iko bunju ni hutua chache kutoka barabara ya Bagamoyo Dar es salaam
  ina vyumba3 na master1 kubwa, sebule nzuri, choo, bafu, store,jiko na fremu mbili mbele, ina uwanja mkubwa,
  maji na umeme vipo, bei ml 130 maongezi yapo, kwa mawasiliano zaidi contact 0712868672 au 0714107215
   

  Attached Files:

 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,034
  Likes Received: 23,785
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo kama hakuna maongezi bei yake ni 130m? I hate maongezi asee!
   
 3. K

  Kariba1 Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuelewa mkuu! maongezi yapo kwa yule ambaye atapungukiwa
   
Loading...