Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,269
- 1,107
habari zenu wadau!! natafuta bodi la toyota corola 4k au carina,liwe linasupport rear diff. Kwa yeyote alienalo au mwenye kujua wapi naweza kupata ani pm. Msiulize injini na gearbox jamani vyote ninavyo hadi difu.
Natanguliza shukurani za dhati.
Natanguliza shukurani za dhati.