Nyumba na eneo lake vinauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba na eneo lake vinauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kariba1, Sep 10, 2012.

 1. K

  Kariba1 Member

  #1
  Sep 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wana JF! nyumba inauzwa ipo kiluvya gogoni kibaha, nyumba bado haijakamilika imebaki kupauliwa ina eneo la ukubwa wa nusu heka umbali kutoka kituo cha gogoni ni km 1, kwenye eneo la nyumba kuna michungwa 10 na migomba mingi eneo limezungushiwa fensi ya seng'eng'e nyumba imedizainiwa kisasa ina store, jiko, vyumba 3 master1 kubwa, diningroom, public toilet na bathroom, sebule kubwa maji na umeme vipo, gari linafika mpaka kwenye eneo bei ml 30 maongezi yapo contact 0714 107 215 au0714104788
   

  Attached Files:

 2. U

  Upanga Senior Member

  #2
  Sep 10, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  weka picha kaka/dada
   
 3. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Picha tafadhali
   
 4. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  kariba 1, weka picha,baba.
   
 5. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kiluvya gogoni ndio wapi huko mkuu...(ramani)
   
 6. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mkuu weka maelezo ya kutosha. halafu rekebisha hiyo title ya thread yako. Huwezi kuuza nyumba bila eneo lake! hakuna nyumba inayobebeka kwamba mtu akinunua anaondoka nayo na eneo la nyumba linabaki!!
   
 7. K

  Kariba1 Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wana JF! mliotaka picha hizooo! kazi kwenu sasa.
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Imabaki kupauliwa???
   
Loading...