Viwanja mbezi luis km 3 kutoka morogoro road bei 3.5m

mpendaMaendeleo

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
279
Reaction score
35

VIWANJA MBEZI LUIS KILOMITA 3 KUTOKA MOROGORO ROAD
NJIA YA KWENDA GOBA MITA 22*22 MILION 3.5.

(kwa taarifa zaidi PIGA: 0718334726-anthony)
 
heka ngap!!? Kwa bei hyo..

Ameshakuambia mita 22 kwa mita 22 (yaani upana na urefu), kuhusu ni heka ngapi wewe sasa unatakiwa ujue maana umeshapewa vipimo kinachotakiwa ni kuchukua calculator au chukua daftari la mwanafunzi geuza kule nyuma huwa watengeneza madftari huwa wameweka vipimo mbalimbali
 
duh wewe ni kiboko..

bei ya kutupa sawa na bure, changamkieni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom