vits

vits

dgratius

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
218
Reaction score
11
mpya chasis no.. Goes for 6mill negotitable
Ni pm number uone gari na maelewano
 
Weka specs. Zake,

km.....
Mwaka iliyotengenezwa....
Picha....
 
mbona unauza kama ya wizi mkuu
weka mambo wazi
 
mpya chasis no.. Goes for 6mill negotitable
Ni pm number uone gari na maelewano

Chasis Number-- Unamaanisha Bado hujaweka Number plates?

6mill--- Unamaanisha unauza milioni sita?

Vits ni toyota au nini. mimi nafahamu VITZ

This is ridiculous!! Kama ni kweli hiyo gari lazima ni ya wizi. Hiwezekani Gari ambayo hata haijatembea hapa Bongo kuuzwa bei hiyo! nakataaa kata kata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom