Naulizia Duka lenye flat screens na furniture za kisasa Dar not fake stuff

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
Kwa wenye uzoefu na ununuzi wa flat screens na furnitures Dar naomba mnipe uzoefu wenu wa duka ambalo lina fare price but quality products nilizozitaja. Natanguliza shukrani.
 
Jamani huku Bara flat screen ya inch 32 SINGSUNG inafikia 670,000/= hadi 720 ,000/= kwa Hitachi
Naambiwa TLC inaweza fikia 550,000/ hadi 600,000/= kwa bei ya hiyohiyo 32'
tusaidieni ni maduka gani? maana mm naanziaga Kariakoo Msimbazi, majuzi kati wamenibandika kanyaboya niokoeni nisije ibiwa hela
 
...Mkuu, kama unataka vitu vya uhakika hasakwenye mambo ya electonics usifanye manunuzi yako kwenye asilimia kubwa ya maduka ya Kariakoo ambayo baadhi yao hata Guarantee wanatoa za kimagumashi. Jaribu yale maduka ya Mtaa wa Samora kisha hamia Mlimani city. Angalau unaweza kupata kifaa ukadumu nancho.
 
jamani mi natafuta sehemu wanauza sunlg mpya na nzuri sina elim yoyote kuhusu pikipiki msaada jaman
 
Kama unaweza kutembelea Zanzibar kule vitu kama flat screen ni bei nafuu sana na wajanja sio wengi kama maduka ya huku. Ila kikwazo ni TRA mara ukishuka nayo huku.
 
LED 46 samsung tsh 1,800,000 weka ganji yangu kilo hapo niibox,mpya kabisa kwenye mabox pc zozote utakazo
 
Kwa wenye uzoefu na ununuzi wa flat screens na furnitures Dar naomba mnipe uzoefu wenu wa duka ambalo lina fare price but quality products nilizozitaja. Natanguliza shukrani.

Mkuu kama unataka genuine products kwa TV nenda pale Samora kuna agent wa Sony, Game pale Mlimani City usiende, kwani wana bei kubwa sana na ubora ni compromised. Kwa upande wa furniture nzuri fika pale LifeMate furniture barabara ya Nyerere karibu na Quality Centre au Monalisa opposite na Shoprite ya Kamata.
 
kwa furnitute jaribu Orcadeco na interior decor zinginezo utakazohitaji...waweza pitia furniture centre pia!!
 
Wako wapi hawa dada Belinda. Bei zao zikoje kwa leather sofa kwa mfano?

rmashauri hiyo Orcadeco iko barabara ya mandela. Jengo moja na ilipo ofisi ya Maersk. Wana vitu vya ndani kiwemo sofaz, makabati, dinning tables&chairs na interior decor nyingi sana..
Ukweli niliona sofaz nzuri sina uhakika kama nilitupia macho leather maana mie nilienda kwa dhumuni la kununua kabati la nguo, nilipata kwa laki 5..! Nakushauri utembelee, hata jumamosi wanafungua!!
 
Back
Top Bottom