Kwa anayetaka nyumba ya mil 15 - 25 tuwasiliane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayetaka nyumba ya mil 15 - 25 tuwasiliane

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Sep 11, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Hii habari ni kweli na hakika kama unataka nyumba ya vyumba 3 mpaka 6 vya kulala kwa bei ya mil 15 mpaka 25 tuwasiliane . nyumba hizi zipo katika maeneo 2 mwananyamala na buguruni .zote magari yanafika zingine zimechoka na zingine bado ni nzuri . tuwasiliane nikupeleke ukaone na uchague moja 0657 145555. 0755 099 291
   
 2. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  weka picha kama inawezekana!
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Akiri weka picha na jinsi ya kufika home nikimaanisha umbali hadi kituo cha daladala etc.
   
 4. A

  Akiri JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ni kweli kaka nyingi ya hizi nyumba haziko mbali na barabara na karibu zote ni gofu ambazo zina umeme na ndani kuna watu wanaishi . mfano kuna moja ipo mwananyamala kwa kopa ni nyumba ya 5 toka kituo cha basi . na kuna nyingine ambayo ni gofu iliyochoka sana ipo pembeni ya barabara ya lami hapo koma koma mwananyamala inauzwa 24m we njoo nikuoneshe japo nyumba 2 . picha huwa zinanisumbua kuweka
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  nitajitahidi kuweka mkuu lakini ukipata muda njoo niambia bajeti yako nikupeleke kwenye moja au 2 za bei hiyo
   
Loading...