Pata huduma ya kushughulikia mchakato wa usajili wa kampuni yako kwa kukamilishiwa taratibu zote (ndani ya wiki 1) na usajili wa NGOs (ndani ya wiki 2). Wasiliana nasi kupitia namba 0714 784154 au...
ni moja kati ya camera ndogo but zenye ubora na hadhi ya juu. Just over 5/8" (16.3mm), 12.1 megapixel 4x
optical zoom lens, 3.5" touch screen LCD, Intelligent Auto,
Smile Shutter, Face...
plot yenye hati ikiwa na heka 8 inauzwa madale heka moja kwa Tshs 15 million. Ni mwendo wa dakika 7 kwa gari au bajaj kutoka bagamoyo road.
Plot hiyo iko baada ya kituo cha polisi cha wazo kama...
Hatimaye filamu ya mwisho ya hayati the greats KANUMBA.Imeshatoka nimebahatika kuiona leo mchana machinga wakiwa wanaitembeza mtani maeneo ya Tunduma.vp mlioiona vp ni nzuri?
i pad 2 nauza 870,000/= na i pad 3 nauza 1,550,000/= no longolongo nakukutumia mtu anakufata unapotaka unaicheck ukiridhia unalipa anakuachia ,made in USA,UR SERIOUS NI INBOX
Hatimaye filamu ya mwisho ya hayati the greats KANUMBA.Imeshatoka nimebahatika kuiona leo mchana machinga wakiwa wanaitembeza mtani maeneo ya Tunduma.vp mlioiona vp ni nzuri?
Pajero IO ina GDI economic kwa ulaji wa mafuta polepole, ya mwaka 1999, imeingia nchini Nov 2011, bei maelewano, ipo katika hali nzuri, imetumiwa na mtu mmoja tu Tanzania, imelipiwa premium...
bb 9300 good condition, charger, 2gb memo for 240000
bb 8520 new, phone only 190000
nokia n900 good condition with screen protector, cable, charger for 300000
Toyota Cresta inauzwa bei sawa na bure M 7.5 iko dar es salaam, colour pearl white iko vizuri engine 1 G cc 1890 ya mwaka 1997 inatembea guarantee miezi miwili................. sababu ya kuuza...
We ni mfanyabiashara?
Una biashara yako ambayo unatamani kuikuza? Unataka kuitangaza ijulikane zaidi?
Or
Una huduma yoyote unayotoa unataka uitangaze mtandaoni??
Or
We ni mjasiriamali mwenye...
WanaJF Mimi niko nje ya nchi natafuta mawasiliano na mtajwa hapo juu nimepewa habari zake na mzungu mmoja kuwa huyo msafiri ni dereva mzuri sana wa malori na nimwaminifu sana wamefanya naye kazi...
Anatafutwa mtu mwenye masters ya linguistics au english kwa ajili ya kuwa lecturer wa chuo cha jordan university college (constituent college of SAUT) morogoro tuma au peleka application yako...
Habari,
Ipad 1 ya 16GB inasupport wireless na sim card(3G). Bei ni 550,000/= uko tayar nicheki 0655-003510
Sent from my BlackBerry 9930 using JamiiForums