natafuta volkswagen beetle old model ya 1974

natafuta volkswagen beetle old model ya 1974

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,220
kwa atakae kuwa nayo tafathali anitumie picha
email yangu. fkilasara@gmail.com
tuongee biashara
 
nimekumbuka zamani kidogo. mambo ya old school.
 
Ninayo ila ni left hand nataka m.1 inatembea subiri picha kwa email yako ila iko arusha
 
Ninayo ila ni left hand nataka m.1 inatembea subiri picha kwa email yako ila iko arusha

kuwa left handed haitakuwa shida sana
ila ubora wake tu uwe mzuri
 
Back
Top Bottom