Gari inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by undugukazi, Sep 26, 2012.

 1. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Pajero IO ina GDI economic kwa ulaji wa mafuta polepole, ya mwaka 1999, imeingia nchini Nov 2011, bei maelewano, ipo katika hali nzuri, imetumiwa na mtu mmoja tu Tanzania, imelipiwa premium insurance, alloy wheels, haijawahi pata pancha na spare tyre ni. Mpya kabisa haijawahi tumika, ina sound system nzuri sana. Bodi upande wa kushoto unahitaji marekebisho kidogo, kuona bure ntakuletea ulipo. Picha zote hapo chini angalia kujiridhisha kisha ni PM
   

  Attached Files:

 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Taja bei Mkuu...
   
 3. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Bei maelewano ila inaanzia million 10 pesa ya kitanzania
   
Loading...