Habari zenu wana JF..
Nauza BAJAJ aina ya 2stroke zipo katika hali nzuri na zipo barabarani. Kwa kila moja bei yake ni sh MILIONI MOJA NA LAKI NANE (1,800,000 Tshs). Zipo maeneo ya...
Ni simu moja ambayo imejitosheleza sana. Iko katika hali nzuri kabisa, na iko na applications kibao za ukweli. kama uko interested nicheck kwa 0715 841 111
Plot inauzwa bahari beach mita 300 toka baharini. ukubwa wake ni 5354sqm bei yake ni 800M(negotiable). kina hati na documents zote muhimu. kipo barabani na kinafaa kwa ujenzi wa petrol...
Wakuu natafuta mtu mwenye Plasma au LCD TV ichi kuanzia 32-48.
napendelea iwe either Sony, samsung, sinsung, panasonic, LG. (sina utaalam sana na hiki HD) kiwepo,
wataalam naamin watanielimisha...
1, Two consecutive plots for sale at Ndege beach [MBWENI] Area 1096 and 1318sqm with title deed issued in the year 2012 Term 33 years contact : 0714104788 or 0714107215
2. A land for sale at...
HABARI ZENU WAKUUU!
TUMELETA MZIGO MPYA WA APPLE I PADS ZIFUATZAZO, NI MPYA KWENYE BOX,ORIGINAL NA ZINA INTERNATIONAL WARRANTY YA 1 YEAR.
APPLE I PADS 2, 16GB, 3G NI $750
APPE I PADS 3, 16 GB...
Nauza iphone 4s ya 16 gb,ina ios 5.1.1 bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo network iko locked so line za bongo hazisomi.Inaweza kuwa unlocked ila hela ya ku...
Nauza iphone 4s ya 16 gb, bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo iko locked, na hela ya ku unlock sina. Kama uko interested ni pm, au piga 0717311420.
Ninahitaji photocopy machine used hata mpya its okey with me as long isizidi one milion iwe katika hali nzuri atleast iwe imetoa copy nyingi ila isiwenyingi saaana. alafu iwe na ADF (automatic...
Ndugu wana JF. Kwa yeyote anayefahamu au mwenye nyumba inayouzwa maeneo ya Sinza na Mwenge tafadhari tuwasiliane kwa PM. Nitashukuru kupata majibu au ushauri wenu.
Kama unahitaji kununua bulk sms ambazo zinakuwezesha kutuma maelfu ya sms kwa wakati mmoja, na ambazo zinakuwa customized in such a way that zinaonyesha jina la biashara yako (kama MPESA au...
Ipo katika condition nzuri kabisa na inafanya kazi bila ya matatezo.
camera hii ni moja ya video camera bora ambayo sio professional bali unaweza kutumia kama professional kutokana quality na...
Salaam Wanajamii
Soko la viwanja Mtwara linakua kwa kasi ya ajabu
Kuna plot inauzwa iko Mtwara Mjini, Mtaa wa Kilimahewa
Wasifa wa Eneo
Plot ipo mita 500 kutoka kwenye mikoko/ufukweni mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.