sasa hapa mtihani sijui nikishawapika nasema nakula wa kisasa au wa kienyeji :confused2:
Kuku wanauzwa kwa jumla, majike 35 kwa 15,000 kila mmoja na majogoo 5 kwa 18,000 kila mmoja.. Contact 0715988522
Macho yako yatakujuzaNtajuaje wana miezi 8 na sio 60?
Macho yako yatakujuza
upo mkoa gani nihitaji mayai kwa ajili ya kutamishia