plots for sale at madale, manispaa ya kinondoni dar es salaaam

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,705
plot yenye hati ikiwa na heka 8 inauzwa madale heka moja kwa Tshs 15 million. Ni mwendo wa dakika 7 kwa gari au bajaj kutoka bagamoyo road.
Plot hiyo iko baada ya kituo cha polisi cha wazo kama unaelekea kwa Kawawa.
Hakuna dalali utaongea na mhusika mwenye hiyo plot. Unaweza kununua yote au kwa heka kuanzia 1.
Kwa maelezo zaidi piga 0755955385
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom