Baada ya kufanya utafiti wa muda mrefu tunapenda kuwaletea kitu kipwa wateja wetu
Bei ni Milioni sita
Kwa maelezo zaidi ni PM
Exactly. Hii ya single deka inabinuja, jee hii ya double si itakuwa balaa?Huu si ubunifu bali uuaji. Hivi hata Boeing wangefikiri kinyume na kimaskini kama hawa si abiria wangeishia ajalini? Hapa dawa si kuongeza nafasi za kushonana kwenye mashini yenye uwezo wa watu watatu ukasema ni ubunifu. Ubunifu ingekuwa angalau kuongeza uwezo wa bajaj kiutendaji badala ya kuizidishia mizigo kama ilivyo hapa. Huyu hata hafai kumilki hata punda maana atataka naye awe double decker. Na kama ushenzii huu unafanywa na jamaa wa kihindi mliowaachia kazi ya kufikiri kwa niaba yenu, wanataka wawatoe pesa hata kama mtamalizana wenyewe kwenye utaaahira huu wa kutofikiri vilivyo.
toa upumbavu wako huu...