Automotors.co.tz: Tovuti mpya ya kununua na kuuza magari kwa watu binafsi na madila wakubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Automotors.co.tz: Tovuti mpya ya kununua na kuuza magari kwa watu binafsi na madila wakubwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ebookreader, Sep 27, 2012.

 1. e

  ebookreader New Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Kuna hii tovuti impya imeanzishwa hivi karibuni, automotors.co.tz, inayolenga kumrahisisha mtu kuuza na kununua gari hapa tanzania. Wahusika wa tovuti hiyo wanaomba msaada wako kuitembelea na kutoa mawazo yako ya kibiashara kuhusu hapo walipofikia na jinsi wanavyoweza kuiboresha tovuti hiyo ili kumfikia kila mtanzania ambaye yuko kwenye harakati za kununua au kuuza gari.

  Vile vile, wataanza kutoa jarida, nalo litaitwa hivyo hivyo automotors, kuanzia mwezi ujao wa kumi. Watajitahidi kulisambaza maeneo yote mjini na ukibahatika kulibata, vile vile wanaomba ushauri wako wa jinsi ya kuendelea na kuliboresha jarida hilo.

  Asanteni sana.

  NB: Kama ukitaka kuwasiliana nao moja kwa moja, email yao ni info at automotors dot co dot tz.
   
Loading...