Sabuni! Sabuni! Sabuni! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sabuni! Sabuni! Sabuni!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mwakabizzle, Sep 27, 2012.

 1. Mwakabizzle

  Mwakabizzle Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu wote katika jukwaa hili heshima kwenu!
  mimi ni mjasiliamali mdogo niliyeamua kujiajiri baada ya kuona kazi za kuajiliwa zimekuwa ngumu sana kupatikana. Mimi najishughulisha na utengenezaji wa sabuni za maji katika kiwango kizuri na ninaamini ukiitumia utaifurahia sana. Sabuni hizi ni mahususi kwa ajili ya kufulia , kuoshea vyombo , kunawia mikono na matumizi mengine ya nyumbani ,maofisini na hata kwenye hoteli.
  Sabuni inapatikana katika ujazo wa lita tano kwa bei ya shilingi elfu saba tu(Tsh 7000/=) hivyo basi ninapokea oda kwa wanaohitaji bithaa hii kwa namba hii 0717 995445 au 0682 995445 nitakufikishia bidhaa hiyo hapo hapo ulipo, kwa wale wateja wa mikoani wasiliana nami kwa namba hizi ili tu-arrange jinsi ya kukufikishia bidhaa na namna ya malipo.Kiwanda pamoja na ofisi ipo makongo juu Dar es salaam.
  Asanteni sana wakuu.
   
Loading...