Nauza I pad 2 na I pad 3

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
i pad 2 nauza 870,000/= na i pad 3 nauza 1,550,000/= no longolongo nakukutumia mtu anakufata unapotaka unaicheck ukiridhia unalipa anakuachia ,made in USA,UR SERIOUS NI INBOX
 
i pad 2 nauza 870,000/= na i pad 3 nauza 1,550,000/= no longolongo nakukutumia mtu anakufata unapotaka unaicheck ukiridhia unalipa anakuachia ,made in USA,UR SERIOUS NI INBOX

Mkuu,
Mbona hiyo brand name sijawahi kuiona hapa duniani. au hiyo product ni kutoka sido au China. angalia Apple wasije wakakupeleka mahakamani kama walivyomfanya Samsung, kwa kuiba jina lao la Ipad na kubadilisha na kuita i pad.
 
Zinatumia simcard pia, kama ni wi-fi tu haisaidii waTZ wengi, labda walioko kwenye taasisi ambapo kuna wire less 24/7
 
kaka usiwe na wasiwasi hunywan'ganywi unaichecheck ni Ipad kaka
 
Yeyote anayezifahamu atatambua ya kwamba toleo la pili na la tatu ni 3G + wi-fi. Labda kam ni za kichina na aseme. Bei ya hiyo 2 ni reasonable, ya 3 haina tofauti na bei za wadosi hapa mjini
 
ACHA LONGOLONGO NA KUZUNGUKA KWINGI. JIBU HOJA YA DADA kaunga HAPO JUU.
Kifaa chochote chenye USB port kinaweza kutumia sim card au memory card ya aina yeyote. All you have to do ni kupachika Usb stick inayobeba sim card.
 
Kifaa chochote chenye USB port kinaweza kutumia sim card au memory card ya aina yeyote. All you have to do ni kupachika Usb stick inayobeba sim card.

Y hassle while zipo za inbuilt sehem ya kuwekea kadi
 
Ipad kama huna wireless inakuwa kero tu.Bora Galaxy samsung au hata Huawei kwa sababu unaweza kuweka kuitumia kama simu.Ipad pia karibu kila kitu lazima upitie Itune Store ambayo kufungua account watakuomba Credit card number wakati Galaxy karibu kila kitu ni free kwenye Android.Anyway bado bei ya huyu jamaa ni reasonable and fair.
 
Mkuu unaweza kufungua account na kuaccess i-store bila Credit Card number na kupata all free programs! Ila ukitaka programs za kununua ndo lazima uwe na payment details the like of credit card number.
 
labda,nililetwa Ipad 4 na mshkaji kumfungulia account nikashindwa,kila nikijribu nakutana na details za credit card.Anyway free programs zipo lakini si kwa wingi kama kwenye tablets za Android.Maybe sijazoea Ipad ndio maana sikuona calling features kama zilizopo kwenye tablets za Samsung na Huawei...niliona simcard za Ipad zinasupport data tu.
 
Mkuu Lonestriker,
Uko sawa,ili kupata access ya iTunes inabidi kuwa na credit card. Sijawahi kufungua account bila ya kukutana na credit card info request (Apple).
Microchip za iPad huwa zinasupport data,Ila kuna apps Kama Talkatone,Viber,Truphone etc ambazo zinatumika Kupiga simu za kawaida.

Ningeomba mkuu Kingmairo atuelekeze jinsi ya kubypass credit card request ili kupata access ya iTunes.
Shukrani.
 
Kifaa chochote chenye USB port kinaweza kutumia sim card au memory card ya aina yeyote. All you have to do ni kupachika Usb stick inayobeba sim card.
Sijawahi kuona Ipad yenye USB port!

Na hiyo sim card, Ipad 2 zipo zenye sim card na zisizo na sim card. Zisizo na sim card ni karibu na useless, kwa sababu huwezi kutumia internet mpaka uingie sehemu yenye wifi. Wenzetu mpaka kwenye mabasikuna WIFI, sasa huku kwetu mabasi ya Temeke Pile - Kwa Mtogole wifi itatoka wapi jamani?

Na hata Ipad yenye sim card nayo ina limitations nyingi tu, kile ki sim card hakiwezi kata kutuma text message, achilia mbali kupiga simu. Ninaposema hakiwezi kutuma text message maana yake hata kuongeza vocha huwezi (lets say una internet ya Tigo umeweka chip ya Tigo ndani) kuongeza salio kwa kutuma ujumbe kutumia Ipad haiwezekani, mpaka sijui uingize kwenye simu ingine pembeni halafu ujitumie vocha ... makomplications meeengi... for no reason. Halafu kuingiza miziki nayo ishu, ku save text documents issue.... just headache. Ipad imekuwa popular magharibi halafu na sisi tunarukia tu technology ambazo kwa kweli were not meant for us.... Samsung is the way to go.
 
nataka hii mimi ,je ni bei gani?na ninaweza pata wapi niko dsm

Samsung Galaxy Tab 8.9 3G+WiFi -Android 3.1.. 16\32gb

i pad 2 nauza 870,000/= na i pad 3 nauza 1,550,000/= no longolongo nakukutumia mtu anakufata unapotaka unaicheck ukiridhia unalipa anakuachia ,made in USA,UR SERIOUS NI INBOX

Hiyo sijawahi kukutana nayo!
 
Mkuu Lonestriker,
Uko sawa,ili kupata access ya iTunes inabidi kuwa na credit card. Sijawahi kufungua account bila ya kukutana na credit card info request (Apple).
Microchip za iPad huwa zinasupport data,Ila kuna apps Kama Talkatone,Viber,Truphone etc ambazo zinatumika Kupiga simu za kawaida.

Ningeomba mkuu Kingmairo atuelekeze jinsi ya kubypass credit card request ili kupata access ya iTunes.
Shukrani.
hiyo mbona rahisi sana,,
[h=2]Instructions: Create an Apple ID (Using iTunes)[/h]You will need an active Internet Connection so turn on Wi-Fi or 3G/Data and make sure your computer is connected.

[h=3]Step 1[/h]
ss-20110621-1.jpg

Open iTunes on your computer and click on "iTunes Store".
[h=3]Step 2[/h]
ss-20110621-2.jpg

Once the iTunes Store has loaded, scroll down until you can see the "Free Apps" chart on the right hand side column.
Mouse over any of the apps there and you should see a "FREE" button appear. Click on the button once.
[h=3]Step 3[/h]
ss-20110621-3.jpg

A small window should pop up, prompting you to log in. As you do not have an Apple ID yet, go ahead and click on "Create New Account".
[h=3]Step 4[/h]
ss-20110621-4.jpg

Click on "Continue".
[h=3]Step 5[/h]
ss-20110621-6a.jpg

Confirm that you are creating an Apple ID for the use in the Malaysia iTunes Store by looking at the line above the Terms of Service. If correct, it should read: "If your billing address is not in Malaysia, click here". If another country name is stated, click to change it.
Tick the check box to agree to iTunes Store T&C and select "Continue".
[h=3]Step 6[/h]
ss-20110621-7.jpg

Fill in your details. Double confirm the email address is correct as you will need to verify this later. Once done, click on "Continue".
[h=3]Step 7[/h]
ss-20110621-8.jpg

Change the "Payment Method" from Visa to "None". If you had a credit card, this would be where you would select your card type and enter the relevant details. Now fill in the rest of your details and click on "Continue".
If you do not see "None" as an option, double check that you chose a FREE app in Step 3 and not a Paid app. If that still doesn't work and creating an Apple ID straight on the iPad also results in failure, we suggest you call up Apple Support (Malaysia: 1-800 803-638) or visit an Apple Authorised Reseller for assistance.
[h=3]Step 8[/h]
ss-20110621-9.jpg

You've nearly created your Apple ID. You just have to check your email and verify your account from there.
[h=3]Step 9[/h]
ss-20110502-10.jpg

This is what the verification from Apple looks like. Click on "Verify Now" and a new window will open up.
[h=3]Step 10[/h]
ss-20110621-10.jpg

ss-20110621-11.jpg

Enter your Apple ID (which is your email address) and the password you chose earlier. Click on "Verify Address". Once the verification is successful, click on "Return to the Store". This will automatically bring up the iTunes Store in iTunes on your computer.
[h=3]Step 11[/h]
ss-20110621-12.jpg

Click on "Done". Congrats! You have successfully created an Apple ID without a credit card.
 
Sijawahi kuona Ipad yenye USB port!

Na hiyo sim card, Ipad 2 zipo zenye sim card na zisizo na sim card. Zisizo na sim card ni karibu na useless, kwa sababu huwezi kutumia internet mpaka uingie sehemu yenye wifi. Wenzetu mpaka kwenye mabasikuna WIFI, sasa huku kwetu mabasi ya Temeke Pile - Kwa Mtogole wifi itatoka wapi jamani?

Na hata Ipad yenye sim card nayo ina limitations nyingi tu, kile ki sim card hakiwezi kata kutuma text message, achilia mbali kupiga simu. Ninaposema hakiwezi kutuma text message maana yake hata kuongeza vocha huwezi (lets say una internet ya Tigo umeweka chip ya Tigo ndani) kuongeza salio kwa kutuma ujumbe kutumia Ipad haiwezekani, mpaka sijui uingize kwenye simu ingine pembeni halafu ujitumie vocha ... makomplications meeengi... for no reason. Halafu kuingiza miziki nayo ishu, ku save text documents issue.... just headache. Ipad imekuwa popular magharibi halafu na sisi tunarukia tu technology ambazo kwa kweli were not meant for us.... Samsung is the way to go.
51jTw1fqC%2BL.jpg

hii kitu nakuletea kwa silingi elfu nne tu!!! i mean shillings za Tanzania. Ipad ni kifaa cha internrt/.data on the go. Sasa mi-text ya nini? Si utumie simu?..... hiyo ni sawa na kutaka kuingia chooni na gari.
 
51jTw1fqC%2BL.jpg

hii kitu nakuletea kwa silingi elfu nne tu!!! i mean shillings za Tanzania.
Ndio nini hicho kitu????

Tunaongelea Ipad hapa!

Ipad ni kifaa cha internrt/.data on the go. Sasa mi-text ya nini? Si utumie simu?..... hiyo ni sawa na kutaka kuingia chooni na gari.
Kwani text message sio data? We vp Mkuu?

Unahitaji text kufanya mambo mengi, kuongeza salio la bandwidth, kucheki salio, kutuma salio.... na kadhalika, IPAD haiwezi hata kutuma text, ni kifaa hafifu! Bora tab za Samsung. Samsung tab zangu zina GSM yenye telephony technology, unaweza kutuma texts na hata kupiga simu.
 
Back
Top Bottom