Mambo vipi wadau wa JF?
Kiwanja kinauzwa Segerea mzimuni kwa bei nzuri tu ya 5 million.
Hiyo nyumba inayomaliziwa kupauliwa kiwanja kinachofuata ndio kinauzwa. barabara na umeme umefika bila...
Havilla Express Delivery
ni kampuni inayokusaidia katika kutekeleza majukumu yako ya kila siku ofisin au nyumbani .
tunafanya shughuri zifuatazo
kuchukua/kupeleka barua kutoka sehemu moja...
Mimi ni engineer nina kampuni ya kufanya design na project management kwenye building services, ni kampuni mpya changa ila mimi mwenyewe nina uzoefu wa miaka kumi kwenye hizo kazi. nakaribisha...
Price: 6000,000 (Six Million) 
Country: Tanzania
Price Negotiable?: YES.
City: Tegeta, Madale eneo la mbopo Dar es salaam
Contacts: Call: 0787934164 or 0717193667
Bei ni maelewano piga...
Niko na Hp NoteBook nimeitumia kidogo baada ya Ku-upgrade,iko poa sana bei laki5 FEAUTURES!AMD C-50 processor,2gb RAM,2ghz250 gb HD,WEBcam,CARD Reader n0-0764920175
Toyota Passo for sale...2005, KGC15-0019152, AHSBK, engine model 1KR FE 0179953. Cc 990 petrol, 92500 milege, white colour..serious buyer plz (0715/0767-483570)
Shamba lenye ukubwa wa heka 250 linauzwa tsh milion 300.Shamba lipo mwanza-kisesa na lipo karibu na ziwa victori,pia gari linafika mpaka shambani.Kwa mawasiliano nitwangie 0713 377066
Nauza kiwanja kilichopimwaa na serikali kina hati miliki kabisa kipo pugu kinyamwezi walipoamishiwa watu wa kipawa i need that money urgently nauza kwa shi milion 6.5 ni pm nipo serious mwenye...
Nyumba inauzwa bei rahisi kabisa, eneo la Mbezi ya Kimara km 2.5 hivi kutoka Kituo cha daladal temboni, Wahi bei Rahisi madalali hawatakiwi Mwenye Nyumba no. 0782052701
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.