Natafuta company

ral

Senior Member
Dec 30, 2009
133
37
Wana JF wenzangu,

mimi huwa sipost sana threads huku, kuna jambo ambalo kuna kidogo linanitatiza, nimefika Munster wiki iliyopita na nitakuwepo kwa wiki mbili, kampani ndio inanipa shida, sijaweza kukutanan mtu yeyote wa nyumbani Tz kama kuna mtu yeyote ambaye ni mwenyeji kidogo naomba tuwasiliane niweze kufahamu mji. Tunaweza kuwasiliana kwa no. 0179-5735752. I will truly appreciate, ahsante.
 
Munster ndio wapi huko Mkuu? ila Mutafute Kongosho ndie mpenda kutembeza wageni kwa sana ila Pochi uwe nalo la kutosha manake anapenda sana Shopping
 
Huyu kama vile anauza madawa ya kuvuvuzelisha.

Afu namba yake ya Amerikani au Japanizi? Au mobitel kaamua kuipaisha tu

Imekaa kijerumani fulani hivi huyu kama vile ndio hakujui na anauza hiyo kitu lazima akuchome tu
 
Huyu kama vile anauza madawa ya kuvuvuzelisha.

Afu namba yake ya Amerikani au Japanizi? Au mobitel kaamua kuipaisha tu.

Jamani watz wakati mwingine tuwe serious, Munster iko germany, na niko serious na msg yangu, habari ya madawa inatoka wapi? Kama unaona hii msg haikuhusu we potezea tu
 
Sasa wewe unaogopa nini?

Tukiwa siriaz hapa tutapaweza kweli??
Kwanza unajuaje mie siko siriazi? Umehesabu ndita zangu usoni ukaona ni chache?

Kwanza hiyo Munster iko Koreshia, kumbe hata jografia hujui
Afu hii ipelekwe the famous 'Love connect', watu tukajimwaye mwaye na kitu cha 'Made in German Sheperd'

Jamani watz wakati mwingine tuwe serious, Munster iko germany, na niko serious na msg yangu, habari ya madawa inatoka wapi? Kama unaona hii msg haikuhusu we potezea tu
 
Huyu kama vile anauza madawa ya kuvuvuzelisha.

Afu namba yake ya Amerikani au Japanizi? Au mobitel kaamua kuipaisha tu.

Jamani watz wakati mwingine tuwe serious, Munster iko germany, na niko serious na msg yangu, habari ya madawa inatoka wapi? Kama unaona hii msg haikuhusu we potezea tu
Kuna Mtu anaitwa Lusingu Mtafute atakuonesha mji ila hali ugali huyo
 
Huyu kama vile anauza madawa ya kuvuvuzelisha.

Afu namba yake ya Amerikani au Japanizi? Au mobitel kaamua kuipaisha tu.

Jamani watz wakati mwingine tuwe serious, Munster iko germany, na niko serious na msg yangu, habari ya madawa inatoka wapi? Kama unaona hii msg haikuhusu we potezea tu

Kwa hicho kiswahili cha mtaani unachoogea vizuri hivyo lazima ushakaa sana TZ,NA Kwa maana hiyo huwezi sema umekosa hata mtu mmoja unayemjua,hapa unatuhadaa na kuna kitu unatafuta kama sio maini ya mtu sijui.
Na kwanini uweke no za nje wakati upo bongo hapa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom