Naomba msaada wa taarifa "MUHIMU SANA" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada wa taarifa "MUHIMU SANA"

Discussion in 'Matangazo madogo' started by maege, Sep 22, 2012.

 1. maege

  maege JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kwa yeyote anayejua source au origin au yanakotokea (mkoa, wilaya hata ikiwezekana vijiji maarufu kwa kilimo cha) matikiti na mapasion yanayoletwa hapa Dar es salaam.
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,936
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  mkuranga na kisarawe
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Mtafute huyu. Malila atakusaidia
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. M

  Malila JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,413
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Ngoja nichangie,

  Mkuranga na Rufiji zinachangia sana haya mazao mawili kwa kiasi kikubwa sana, kwa mfano vijiji vyote vilivyo ktk njia ya Vikindu mpaka Tundwi Songani Mkuranga,Ukanda wa Malela mpaka Shungubweni,maeneo ya Pemba mnazi,kididimo,Kisele kote huko matunda haya yanamea vizuri.

  Bonde la Ruvu linatoa sana tikiti, au bonde la Wami pia. Maeneo ya Mufindi Iringa kuna passion nyingi sana ila zimekosa soko kabisa.
   
Loading...