Wapi naweza kupata pure leather kwa ajili ya kutengenezea sofa

Wapi naweza kupata pure leather kwa ajili ya kutengenezea sofa

KyelaBoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2008
Posts
206
Reaction score
22
Kama kuna mtu anafahamu duka hapa Dar linalouza leather halisi ya kutengenezea sofa,pia kama kuna mtu anamfahamu fundi wa kutengeneza au kukarabati sofa ambazo kitambaa chake ni leather,nahitaji fundi aliyebobea ambaye anaweza kukarabati sofa zangu aina ya Chesterfield sofas(sofa zenye dimples kibao)ambazo zimeanza kuchoka ni pure leather lakini sasa zishachoka sasa zirudie upya na uasili wake.simu yangu ya kiganjani ni 0786 585 490
 
Back
Top Bottom