Weka order ya laptop, blackberry, samsung galaxy s1,s2 au s3, ipad

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
Habar wakubwa, kama nilivoelezea hapo juu me naondoka kesho kwenda south kwahiyo mwenye kuweka order ya vitu hivyo plus flat screens za ukweli please tuwasiliane kwa mail baraka607@gmail.com hii ni biashara nafanya kila siku na kuna watu kibao humu ndan wananifahamu pia unaweza fuatilia post zangu si mtu wa longolongo.
 
Kamanda umenigusa wakati ambao cko vema kbs!

Ila ntaisave hii na bila shaka ntakuseach muda wowote ule ntakapokuwa OK!
 
Habar wakubwa, kama nilivoelezea hapo juu me naondoka kesho kwenda south kwahiyo mwenye kuweka order ya vitu hivyo plus flat screens za ukweli please tuwasiliane kwa mail baraka607@gmail.com hii ni biashara nafanya kila siku na kuna watu kibao humu ndan wananifahamu pia unaweza fuatilia post zangu si mtu wa longolongo.

suala la price limekaa vipi na je itachukua muda gani mzigo kuingia?
 
Mkuu Baraka mie ntakucheki kwa mail yako hyo mwanangu ili uniambie bei ya huyo mzigo ntakaokujulisha mkuu
 
poa poa Laurence karibu sana mkbwa wangu wa kazi.Tuwasiliane tu hakuna kitakachoharibika
Mkuu Baraka mie ntakucheki kwa mail yako hyo mwanangu ili uniambie bei ya huyo mzigo ntakaokujulisha mkuu
 
Price itategemea na mzigo ila bei zangu huwa za kawaida sana kwa hali yetu ya kitanzania. Me huwa naondoka sikai zaidi ya week narudi mkubwa.
suala la price limekaa vipi na je itachukua muda gani mzigo kuingia?
 
Bado tunasubiri order ya Maberere ya kutoka China,alisema baada ya wiki mzigo utakuwa tayari,sijui wiki bado ngoja tuvute subira
 
Maberere ameniletea sms kuwa mzigo wa kwanza tayari ameutoa customs leo hii! Tusubiri mkao wa kula!
 
Habar wakubwa, kama nilivoelezea hapo juu me naondoka kesho kwenda south kwahiyo mwenye kuweka order ya vitu hivyo plus flat screens za ukweli please tuwasiliane kwa mail baraka607@gmail.com hii ni biashara nafanya kila siku na kuna watu kibao humu ndan wananifahamu pia unaweza fuatilia post zangu si mtu wa longolongo.
mkuu (SAMSUNG GALAXY TAB 7.7 P6800 WiFi + 3G 32GB Internal Memory) ntaipata kwa shilingi ngapi naihitaji haraka,,nimekutumia na email...
 
Back
Top Bottom