Professionals | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Professionals

Discussion in 'Matangazo madogo' started by echuma, Sep 21, 2012.

 1. echuma

  echuma JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Katika dunia ya sasa kila anaetaka akupe biashara au unataka awe mteja wako lazima akuamini kwanza na uaminifu katika kazi huanza na muonekano,ufanisi na umakini.

  Legacy ni kampuni inayoshughulika na huduma ya printing,graphic design,website technology na stationeries inatoa huduma ya branding kwa makampuni na watu binafsi, brand tunayoifanya ni ya designing ya vitu vya stationeries ambavyo mara nyingi ndivyo vinatumika kutangaza kampuni na huduma yako pia ikiwa utafanyiwa branding kampuni itashirikiana na idara ya masoko ya kampuni yako kuhakikisha inafanya vizuri kwa upande wa mauzo.

  Kwa sasa kampuni ndio inaanza huduma ambayo ni faida kwa mtu mwenye biashara anaetaka biashara yake iwe kwenye kiwango kile kile hivyo tutachukua kampuni chache kwanza ili tuhudumie kwa uhuru na mipango pia ni busara kama utakuwa miongoni mwao kwa sababu siku zote unapoanza lazima uwe na resornable price hadi watu wakukubali ndipo unapandisha wahi mapema kabla nafasi haijaisha tunaamini kuwa na vichache vizuri ni bora kuliko kuwa na vingi vibovu

  Mawasiliano
  0688321282 au info@legacytz.com

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
Loading...