Kiwanja Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja Dar

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mwananyiha, Sep 21, 2012.

 1. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiwanja kinapatikana kwa bei ya 15m kipo salasala- Kidzudi maeneo ya mbezi beach kina ukubwa wa 60 kwa 44. Hakijapimwa umeme ulishafika siku nyingi na barabara nzuri. Pia kinaweza kukatwa nusu kwa nusu bei. Mawasiliano 0712232849 karibu kabla hujachelewa
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  15m mbona ndogo kwa maeneo hayo na ukubwa wa kiwanja!? ...au kuna mchezo hapo?
   
 3. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Ni kweli lukindo, I am worried about this story kwa kweli.
   
 4. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu hakuna kamchezo ni vitu vya uhakika njoo weekend hii ujionee.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mbezi beach kiwanja mil15?? Mhhh isije ikawa papa msofe type!!
   
 6. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Vipi maendeleo ya jirani na kiwanja hicho??
   
 7. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  worry not my friend come and see.
   
 8. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanasema wasiwasi ndio akili lakini nakushauri ufike usome mazingira kama ni ya kimsofe au la.
   
Loading...