Msaada: Nitapata wapi mahindi maalumu kwa ajili ya kutengenezea pop corn (bisi)

Msaada: Nitapata wapi mahindi maalumu kwa ajili ya kutengenezea pop corn (bisi)

Kig

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
1,079
Reaction score
469
Je kuna mahindi maalumu ya kutengeneza bisi (pop corn) ambazo ni kwa ajili ya kuuza (kwa ajili ya biashara ya pop corn) au mahindi yoyote yale yanaweza kutumika kutengeneza pop corn?
Kama yapo au kuna mahindi maalumu, nitayapata/yanauzwa wapi? kwa bei gani kwa kipimo fulani eg Kg 1, au kg 10 nk?
 
Vizia mafuso ya kutoka Dodoma au nenda tandale sokoni mahindi ya kumwaga,600 kwa kilo!
 
Mahindi maalum kwa ajili ya popcorn yanapatikana pale kariakoo soko dogo, kilo moja ni 2000Tshs, na ni mahindi flani madogo na ya njano, si kila mahindi huweza kutengeneza popcorns!
 
Back
Top Bottom