Kama una laki saba net ni PM nikuuzie!Wadau natafuta Blackberry Torch 9810 used, maana msije mkanishambulia kuwa nikanunue dukani, kwa wale ambao wanataka kubadili simu basi tuuziane hizo.
Kama una laki saba net ni PM nikuuzie!
Imetumika kwa mwezi mmoja tu. Chini ya hapo siuzi!!
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums