Salaam wakuu,
Tafadhali ninaomba yeyote anayemfahamu msichana aliye smart na charming kiasi, mwenye uwezo wa kuuza genge ani-PM. Hii inaweza kuwa promotion kwa huyo housegirl wa jirani yako na...
galaxy note inauzwa...Used 1 month and a half in good cond.
Screen porotector
Custom back cover
s3 operating system installed
And charger
Pm or 0756 412 337 for info....cheerz XD!
workshop on enterprenueship
satarday 29 september 2012 tsh 5000/=
for more infomation please call 0683672508 or benkissy@yahoo.com
hii kwa watu wa arusha tu wanaopenda...
​LAPTOP aina ya hp inauzwa ths 450,000/= bei inaweza kupungua (maelewano)
features
150GB HARDDISK
WINDOW 7 ULTIMENT GENUINE
1.25GB RAM, Wi-Fi (wireless connection)
Intel(R) Pentium(R)...
Shamba linauzwa
ekari moja liko kibaha kwa Mathias km 6 toka morogoro rd,barabara inafika bila shaka yoyote.
Bei 2.5 mil nipigie kwa ufafanuzi au swali.
0752553959/0719081205
Wakuu,
Kuna mtu ameniletea dili la kiwanja kinauzwa huko Tuangoma Kigamboni. Kwa ninavyofahamu kigamboni inaleta mashaka sana hasa pale ambapo kiwanja hakijapimwa kwa kuwa mipango miji mingi...
Habari Wakuu,
Nauza HP Pavilion DV7 ya 2012 kwa TZS 700,000/= ni mpya na ina spec zifuatazo
Processor Name: Intel Centrino Dual Core
Processor Speed: 2.4 GHz
Operating System: Windows 7...
Kiwanja na nyumba kinauzwa pugu kinyamwezi.nyumba :- 4 bed rooms (muundo wa kisasa),korido,sitting room, ila bado kupaua tu.kiwanja:- kipo barabarani,kina nafasi ya kutosha kabisa.bei:-...
Wana JF wenzangu,
mimi huwa sipost sana threads huku, kuna jambo ambalo kuna kidogo linanitatiza, nimefika Munster wiki iliyopita na nitakuwepo kwa wiki mbili, kampani ndio inanipa shida...
Sizijui jina kitaalam ila nliona moja ineandikwa BLOSSOM sjajua ni jina la kampuni zalishi ama ni jina la mashine, but zinatoa hewa moto,na ni nzuri kujikausha baada ya kuoga.Ni kama hand driers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.