Nauza kiwanja kiko Kimara Baruti (maarufu Matete au kwa Koka). Urefu futi 117 (mita 35.7); Upana futi 60 (mita 18.3); Eneo (Area) 7020sq.ft (653.31sq.m). Kwa mnunuzi nitumie email kilibata@iit-tz.com
umeelezea yote,umebakisha kitu kimoja tu,nacho ni bei
Nimetoa email address yangu na wahitaji wamekwisha anza kunitumia email. Naamini mtu anayehitaji atatuma email na tutaanza mawasiliano rasmi. Kuna wanaosema sikutaja kitu kimoja tu ambaho ni bei lakini nafikiri unapotaka kununua kiwanja ni vizuri ukajua mambo mengine kama 1. Kina hati 2. kiko umbali gani kutoka barabarani 3. kuna huduma gani za kijamii karibu n.k.