Nauza memory card na flash disk kwa bei poa kabisa

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,382
1,208
Memory card 1 gb sh 7000/=
2 gb sh 9000/=
4 gb sh 14,000/=

flash disk 1 gb sh 11,000/=
2 gb sh 13,000/=
4 gb sh 19,000/=
8 gb sh 30,000/=
16 gb sh 40,000/=
512 gb sh 250,000/=

0655 854563
 
Bei poa sana,

Juzi kati jamaa wamenipiga flash disk ya 4GB kwa 30Thou, nikaikumbuka sana JF.
 
Maisha computers wanauza memory card kwa bei hizi:
2GB=Tsh.4,000/=
4GB=Tsh.5,000/=
8GB=Tsh.8,000/=
ni kipi litakacho tufabya tuje nunua kwako kwa bei hizo???
 
Maisha computers wanauza memory card kwa bei hizi:
2GB=Tsh.4,000/=
4GB=Tsh.5,000/=
8GB=Tsh.8,000/=
ni kipi litakacho tufabya tuje nunua kwako kwa bei hizo???

Mkuu wapo wapi hawa? una contact zao?
 
Maisha computers wanauza memory card kwa bei hizi:
2GB=Tsh.4,000/=
4GB=Tsh.5,000/=
8GB=Tsh.8,000/=
ni kipi litakacho tufabya tuje nunua kwako kwa bei hizo???

Wako wapi hawa kaka??
Hizi bei zimekua chini sana, haziwezi kua fake hizi kaka?
 
Maisha computers wanauza memory card kwa bei hizi:2GB=Tsh.4,000/=4GB=Tsh.5,000/=8GB=Tsh.8,000/= ni kipi litakacho tufabya tuje nunua kwako kwa bei hizo???
Sio za mkandarasi hizi?
 
Jamani huyu jamaa kaleta bidhaa zake na mimi nime muuliza kipi kitakacho tufanya tununue kwake kwa bei hiyo, kwa kuheshimu thread na biashara ya jamaa ukitaka contacts za maidha Computers niPM nitakupatia bila woga
 
Back
Top Bottom