VIWANJA VINAUZWA.
Viwanja vinauzwa , eka moja na ¾ eka , viko Njia Panda , Chekereni, Moshi, Kilimanjaro,Tanzania.Kilometer moja kutoka barabara inayokwenda...
Plot inauzwa madale baada ya kituo cha polisi
kama unaelekea kwa kawawa ina heka 8 na kila
hekta million 15. Unaweka nunua yote au hekta
moja moja. Umbali wake ni mwendo wa dakika 7
toka...
Hi all,
Nauza HP Laptop 6910p yenye Specs hizi hapa:
Processor: Duo @ 2.4
HDD: 250gb
RAM: 2gb
Resolution: Mobile PC Display,nice
Installed OS: Win 7 Proffesional
Performance: Great
Problem...
TUNAHITAJI WANUNUZI AMBAO WANAWEZA KUNUNUA MATIKITI MAJI KUANZIA TANI ELFU 10 ( SAWA NA MATUNDA 40,000+). TUNAPATIKANA MKOA WA TANGA MJINI MAENEO YA PONGWE. TUNAHITAJI MTEJA AMBAE ANAWEZA KUMUDU...
Natafuta laptop aina ya dell kwa aliyeko nayee anicheki kwenye 0718888665 0752507004
Dell yenye muonekano mzur nah old model yenye
web cam
RAM kuanzia GB1
Processor kuanzia 2.9
Wanajamii nauliza kati ya hizo gari nilizozitaja ipi ambayo spare parts zake zinapatikana hapa kwetu tanzania ingawa zote ni za kampuni moja,nimevutiwa na hizo gari,mtu yeyote anayefahamu anijuze...
Ni Toyota Cresta; 1997 model; 1998cc; AT; 99850km (10 July 2012); lipo katika hali nzuri; lipo Dar es Salaam; linauzwa wakati wowote na unanunua na kuendelea kulitumia wakati huo huo kwani halina...
Khabari wanajamii! kuna kiwanja kinauzwa bagamoyo mjini maeneo ya ukuni, kiwanja ni medium size kimepimwa na ukubwa wake ni sqm 780. bei yake ni ml 7.8 huduma za jamii kama maji, barabara na umeme...
Wadau,
Nauza BMW 3-Series 318ti M-Sport ambayo imetoka bandarini Ijumaa ya tarehe 21st Sept, 2012
Gari hii ni nzuri na zifuatazo ni details zake.
YOM; 1999
Odometer: 92,400 km
CC: 1,890...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.