Rav 4 ipo sokoni

Rav 4 ipo sokoni

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,576
Reaction score
2,218
Imeshauzwa
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1348345482652.jpg
    uploadfromtaptalk1348345482652.jpg
    71.8 KB · Views: 169
Kawaida mtu akitaka kununua gari hupenda kujua zaidi kama
-gari ya mwaka gani
-imetembea maili ngapi
-inatatizo lolote
-ukubwa wa engine
-imeingia lini nchini
-ipo mkoa gani
na vingine labda nimevisahau

samahanini wakuu kwa kuweka habari nusu nusu....ni ya mwaka 1996
imetembea 130895km
inapatikana kigamboni dar es salaam
 
Ipo soko gani?k,koo shimoni?tandale?tandika?temeke stereo au ilala sokoni?na inafanya nini huko?

dunia ya sasa neno soko halina maana ya eneo mkuu....soko linaweza likawa popote wanapokutana mteja na muuzaji....kama tumekutana jf basi hapa ndio sokoni tunaweza fanya bishara
 
jamani imekwisha uzwa.......
 
Back
Top Bottom