Msichana wa kuuza genge anahitajika

Jul 21, 2012
86
21
Salaam wakuu,

Tafadhali ninaomba yeyote anayemfahamu msichana aliye smart na charming kiasi, mwenye uwezo wa kuuza genge ani-PM. Hii inaweza kuwa promotion kwa huyo housegirl wa jirani yako na itampa pia nafasi ya kujifunza biashara...kwa hivo usiache kumsaidia tafadhali.

Kituo cha kazi ni hapa Dar es Salaam na mshahara utakuwa walau 90,000 mpaka 110,000 kulingana na juhudi ya kazi na mauzo.

Ahsanteni
Marcus Aurelius
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom