Nissan Terrano Regulus for Sale (Just Imported)

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,157
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
"93 nipo boarder naitafuta South africa leo hii najichanganya tu america ndivyo mambo yanachange leo Ndani ya Terrano kesho VX au Range"---Sugu
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
 
Wadau,

Nissan Terrano Regulus inauzwa, Imetoka 19/09/2012 Bandarini.
STAR FIRE 4WD PETROL

Make; Nissan
Model: Terrano Redulus
CC: 3,270
YOM; 1996
Transmission: A/T
Odometer:85,000Kms
Color; White
Fuel: Petrol
Drive: 4WD
Price; 16Mil (Neg)
Contacts; 0716 474 435
View attachment 65485View attachment 65486
View attachment 65487View attachment 65488
View attachment 65489View attachment 65490
View attachment 65491View attachment 65492
View attachment 65493
Gari zuri sana mkuu,limelipiwa charge zote?
 
1996....duh....mkuu hiyo si unatakiwa uitupe dampo au.......
Maana kama mtoto sasa yupo....form one....thats why hata bei umegoma kutoa coz wajuaji humu wange anzakufuatilia depreciation value ya 15% per year.....
Ila usife moyo utawapata wadau...wanaohitaji vimeo coz thats TZ yetu.....tutafanya nini
 
Duh,
Nlijua tu hamtakosekana.
Anyway, bei hujaiona wewe, but try to review again.
 
wajapani walicho kifanya ni kuweka seat cover mpya,kupaka rangi na kuweka tire mpya....kwisha habari...kwa MTZ anaona mali ya enga hiyo.....duh
 
Kwa uzoefu wangu mdogo wa hapa JF, watu wa aina yako hua sio wanunuaji.
Na zaidi hua wanakwazika kuona mwenzao ameweza kua na labda gari la kuuza wakati wao dhooful-hali.
Ushauri wangu kwao; jenga bifu na serikali iliyoko madarakani kwa kutokukuwezesha wewe kua na mali.

Ushauri wangu kwa wauzaji; msikate tamaa,
biashara ni huria so anaehitaji atanunua na kukagua kwa vigezo vyake.

Mkuu Shakir, bei haipungui? Mwisho ngapi?
 
Ahsante sana kaka kwa kumfahamisha huyu jamaa.
Nimependa beti ya kwanza na ya pili,
Beti ya tatu nipigie tuongee nione tunapunguzianaje bei!!
 
Wadau,

Nissan Terrano Regulus inauzwa, Imetoka 19/09/2012 Bandarini.
STAR FIRE 4WD PETROL

Make; Nissan
Model: Terrano Regulus
CC: 3,270
YOM; 1996
Transmission: A/T
Odometer:85,000Kms
Color; White
Fuel: Petrol
Drive: 4WD
Price; 16Mil (Neg)
Contacts; 0716 474 435
View attachment 65485View attachment 65486
View attachment 65487View attachment 65488
View attachment 65489View attachment 65490
View attachment 65491View attachment 65492
View attachment 65493
nimependa ulivyo itangaza biashara yako!!hujaacha vijimaswali kwa anayeitaka!!
 
Chini sana mkuu wangu,
Naiuza sababu natarajia kupata gari kama 3 wiki hii bila kutarajia so sintozimudu zote!!

Aaaaa kaka, hako si ndy kabiashara ketu sheikh!!....au ndy marketing strategy!?
 
Kwa uzoefu wangu mdogo wa hapa JF, watu wa aina yako hua sio wanunuaji.
Na zaidi hua wanakwazika kuona mwenzao ameweza kua na labda gari la kuuza wakati wao dhooful-hali.
Ushauri wangu kwao; jenga bifu na serikali iliyoko madarakani kwa kutokukuwezesha wewe kua na mali.

Ushauri wangu kwa wauzaji; msikate tamaa,
biashara ni huria so anaehitaji atanunua na kukagua kwa vigezo vyake.

Mkuu Shakir, bei haipungui? Mwisho ngapi?

Kweli kabisa mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom