Ps3 hainaga cd feki kaka? Sema inachofanywa ni kuinstal jailbreakin softwares like back up softwares then unafanya back up of games kwenye internal hard disk au external,,
Yaan unaazima cd kwa mtu then unaicopy hiyo game kwenye ps3 yako kisha unarudisha cd, game unakuwa unaicheza bila cd,, vile vile unaweza kudownload hizo copied games kwenye torrent websites..
So ps3 zote ni regional free yaan hata ikiwa ntsc inacheza cd za pal lakini lazima ziwe original cd
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.