Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau wote wa biashara hapa nchini Tanzania, China, Hongkong n.k , naomba mtembelee website(www.g12.hk) yetu kujionea kazi zetu tunazofanya. Baadhi ya kazi zetu ni: Kutafuta bidhaa kulingana na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1 kiwanja kinauzwa kina hati ukubwa wake ni square metre 1710 kipo Tegeta block "B" (MASAITI) bei ml 150 kwa mawasiliano zaidi piga 0714104788 au 0714107215 2 Kiwanja kizuri kipo Tegeta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Welcome to Apprux Corporation
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Used but iko poa kimuonekano na kiafya iko poa kama unahtaji ncal 0776310003
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hivi ni viwanja vya kupima , unachotokiwa ni kulipa gharama kama inavyoonyesha hiyo vocha na hela yangu ya udalali ni milioni mojo kwa kila kiwanja-0712769766- viwanja hivi vimeshauzwa
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hizi ni vocha kama zinavyojieleza
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu mwenye decoder ya dstv anipm kwani ya kwangu nyumbani imeungua so nahitaji kwa alionayo ani PM pamoja na bei yake!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiko Bunju KM 2 toka bagamoyo road, kina ukubwa wa heka 16, kina hati ya kujenga shule, bei ni ml 800
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Gari yenye sifa zifuatazo inauzwa kwa Tsh7500000 na maongezi yanakubalika Model:Nisani Lucino Year: 1997 Milage: 73410KM Engine size: 1490cc Ipo katika hali nzuri, niliagiza kutoka japani may...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii heshima kwenu!Nimeona vema niwashirikishe, kuna jamaa yangu amebanwa na majukumu ambayo yamemlazimu kuuza kiwanja/shamba lake lenye ukubwa wa heka moja kwa sh mln 3.5 tu,liko kibaha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
JE UNAJUA BIASHARA ITAKAYO FANYA VIZURI MWAKA 2013 NA KUDUMU KWA MUDA WA ZAIDI YA MIAKA 10 HUKU IKIWA IMARA KIUCHUMI? HIZI NDIZO ZITAKUWA SIFA ZAKE 1. ITAKUWA NI BIASHARA YA HUDUMA (service...
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Toyota Corolla Limited,MODEL AE91 ya mwaka 1990,Engine Capacity 1498 cc,Seat cap 5,Body type SALOON(closed top),GROSS WEIGHT 1000,WHITE COLOUR,Odometer 99,800.......Imetumika kwa matumizi binafsi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anajua dawa ya mende anijulishe tafadhari, nimefanya furmigation lakini wamerudi tena najitahidi sana kuzingatia usafi lakini wanarudi tena wale wadogo wadogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na vyumba 2 sitting jiko na choo na luku yake pawe panafikika ikipendeza na maji yakawepo itakuwa pouwa namba yangu ni 0786 670 121 inahitajika kufikia tarehe 15...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sifa zake, kiko tegeta madale kwa mbopo , kimepimwa na kina docoment zote,ukubwa wake ni 70 kwa 45 mahali kilipo ni eneo lililojengwa tayari sio porini na gari inafika bila matatizo,bei yake ni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauza mashine za bakery ambazo nilinunua uingereza zilizotumika.Mashine hizi nilinunua kwa ajili ya kuzifanyia kazi lakini sikufanikiwa kufungua kutokana na sababu zisizo zuilika na matokeo yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa heka 3 katika mkoa wa mwanza maeneo ya usagara mizani linauzwa kwa bei ya tsh mil 11.Shamba lipo karibu na road na gari linafika mpaka shambani.Mawasiliano 0713 377066
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello wadau. Anahitajika mbwa aliyekuwa trained vizuri. Nitafurahi kama nitampata na aliyemtrain kwa ajili ya kumzoesha kwangu pindi nikimnunua. Kama unaye, au unajua wanapopatikana, please let...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Nahitaji hawa wataalamu kwa ajili ya msaada wa kupokea na kuniletea vifaa vyangu porti ya Dar. 1. Je, ni gharama kiasi gani kushughulikia zoezi zima? 2. Ni mambo gani yanahitajika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom