Nauza kuku wa kienyeji-tabata kinyerezi.

Nauza kuku wa kienyeji-tabata kinyerezi.

DonM

Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Ninauza kuku wa kienyeji wenye uzito kuanzia 1kg mpaka 1.5kg...Bei kwa kuku ni Tsh 14,000/=.Kuku wapo wengi...Kwa mawasiliano 0712-164153,0717-012395
 
Asante kwa taarifa.mayai unayo?weka basi na picha
 
Ninauza kuku wa kienyeji wenye uzito kuanzia 1kg mpaka 1.5kg...Bei kwa kuku ni Tsh 14,000/=.Kuku wapo wengi...Kwa mawasiliano 0712-164153,0717-012395

Nahtaj mayai ya bata ntapata
 
asanteh mkuu ntakutafuta.....v
ipi hii ni bei ya reja reja au ya jumla??
 
Hiyo mkuu ni bei ya rejareja...kuku wanaridhisha.
 
picha ya mayai au kuku!
sasa huu ni ujinga mtadaije picha na mayai kwa ni wewe hujui kuku walivyo na mayai talivyo na ameshasema uzito wacheni mazoea ya picha picha tomaso wakubwa
 
sasa huu ni ujinga mtadaije picha na mayai kwa ni wewe hujui kuku walivyo na mayai talivyo na ameshasema uzito wacheni mazoea ya picha picha tomaso wakubwa

aiss povu ulilonitolea hata sijui ulikuwa na hamu ya kulitoa,au hukujua wa kumtolea hilo povu!!!!umefuatilia vizuri michango iliyotolewa,au umeamua kutoa povu lako tu!!mimi nilikuwa namuuliza huyo aliyekuwa anataka picha lkn umenitolea povu hadi natamani nikutukane!
 
Back
Top Bottom