Nissan sunny and nissan bluebird slyph

MmasaiHalisi

Senior Member
Jan 15, 2009
192
23
Wanajamii nauliza kati ya hizo gari nilizozitaja ipi ambayo spare parts zake zinapatikana hapa kwetu tanzania ingawa zote ni za kampuni moja,nimevutiwa na hizo gari,mtu yeyote anayefahamu anijuze

nawasilisha
 
Wanajamii nauliza kati ya hizo gari nilizozitaja ipi ambayo spear zake zinapatikana hapa kwetu tanzania ingawa zote ni za kampuni moja,nimevutiwa na hizo gari,mtu yeyote anayefahamu anijuze

nawasilisha
Mkuu MmasaiHalisi,
Kama unazungumzia SPEAR(Mkuki) Mbona huko kwenu inapitikana kwa wingi sana..hata hapa Dar inapitikana kwa urahisi tu. Ila Kama unazungumzia SPARES za Nissan kwa hapa Bongo nafikiri ni pasua, Ila Nairobi KE zinapatikana.
Kila la kheri mkuu.
 
ila hizi gari ni bei poa sana ukilinganisha na toyota,je kwa Tanzania hakuna dealer wa vipuri vyake kwa anayejua atujuze
 
Wanajamii nauliza kati ya hizo gari nilizozitaja ipi ambayo spare parts zake zinapatikana hapa kwetu tanzania ingawa zote ni za kampuni moja,nimevutiwa na hizo gari,mtu yeyote anayefahamu anijuze

nawasilisha
chukua nissan sunny uta enjoy,iko economy vifaa vya kawaida vinapatikana bongo,ukikosa unaagiza nairobaa,life goes on....kimjini mjini kinakuokoa mkuu
 
Mkuu MmasaiHalisi,
Kama unazungumzia SPEAR(Mkuki) Mbona huko kwenu inapitikana kwa wingi sana..hata hapa Dar inapitikana kwa urahisi tu. Ila Kama unazungumzia SPARES za Nissan kwa hapa Bongo nafikiri ni pasua, Ila Nairobi KE zinapatikana.
Kila la kheri mkuu.
Umemjibu vyema ingawa kwenye bold hapo nadhani itakuwa ni Kimasai ambacho ni wewe na yeye tu ndio mnaoweza kukielewa!
 
nissan.jpg
asante sana kwa ushauri iko poa ina cc 1490,

nimeichukua juzi tu at a very cheap price,imefika kwa 6.5m kila kitu
 
Back
Top Bottom