Wanunuzi wa matikiti maji kwanzia tani 10000+ wanahitajika!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanunuzi wa matikiti maji kwanzia tani 10000+ wanahitajika!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by moremoney, Sep 29, 2012.

 1. m

  moremoney Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  TUNAHITAJI WANUNUZI AMBAO WANAWEZA KUNUNUA MATIKITI MAJI KUANZIA TANI ELFU 10 ( SAWA NA MATUNDA 40,000+). TUNAPATIKANA MKOA WA TANGA MJINI MAENEO YA PONGWE. TUNAHITAJI MTEJA AMBAE ANAWEZA KUMUDU KUNUNUA MATUNDA YOTE YALIO KWENYE SHAMBA. TUNAFANYA KILIMO CHA KISASA NA MATUNDA YETU YANAKUWA NA QUALITY NZURI. KWA MAELEZO ZAIDI NAOMBA TUWASILIANE KUPITIA 0718654739 AU salim.nelson@gmail.com
   
Loading...