Kiwanja kilichopimwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kilichopimwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kariba1, Sep 28, 2012.

 1. K

  Kariba1 Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Khabari wanajamii! kuna kiwanja kinauzwa bagamoyo mjini maeneo ya ukuni, kiwanja ni medium size kimepimwa na ukubwa wake ni sqm 780. bei yake ni ml 7.8 huduma za jamii kama maji, barabara na umeme zipo kwa anayehitaji contact 0714107215 mudy
   
 2. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nimeona tangazo lako
  Ninapapenda sana Bagamoyo
  Je hakipungyuki angalau kama 5 milion hivi?
   
Loading...