Nauza gari Tsh 7m | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza gari Tsh 7m

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Speedo, Jul 10, 2012.

 1. S

  Speedo Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 13
  Ni Toyota Cresta; 1997 model; 1998cc; AT; 99850km (10 July 2012); lipo katika hali nzuri; lipo Dar es Salaam; linauzwa wakati wowote na unanunua na kuendelea kulitumia wakati huo huo kwani halina tatizo lolote. Insurance Comprehensive; Valid Road License etc etc etc.
  Bei Tsh 7m.
  Call: 0685386608
   

  Attached Files:

 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,503
  Trophy Points: 280
  safi sana bei iko reasonable. Kuna watu watakuja hapa kuuliza eti kwa nini unauza.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kwa dunia ya leo GX100 tena kavu ni ndoa ya maisha!!!mkataba.......napita watakuja!!wapenzi wa speed!!
   
 4. K

  KASRI Member

  #4
  Jul 10, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  .

  KakaKiiza;
  Kwa uzoefu mdogo nilionao, mara nyingi vinavyodumu huwa havinunuliwi mara kwa mara (mzunguko mdogo).
  Kwa uzoefu wa miaka sita sasa nimetumia CRESTA GX100; 1997 Model kama hiyo inayouzwa. Sijawahi kupata tatizo kubwa la kiufundi zaidi ya service, kubadili tyres, bulbs (taa) za mbele na moja ya nyuma. hiyo gari nimeiuza mwezi March 2012 kwa shs 6.8m. Aliyenunua yupo hapa hapa mjini DSM na anaitumia vizuri tuuuu.

  Kusema kuwa nayo ni kufunga nayo ndoa ya maisha nadhani unaweza kuwa sawa kwa kuwa huna haja ya kuiuza wakati haikusumbui.
  Ni gari yenye nguvu,
  Inahimili mikiki kuliko gari zingine za aina hiyo,
  "Engine" yake haitetereshwi na vitu vidogovidogo kama mafuta yaliyo chakachuliwa, etc,
  Ukitaka kusafiri nayo ndio utafurahia zaidi - kwa wanao yatumia watakubaliana na mimi --hili dude barabarani linatulia.
  Sifa zaidi zipo nadhani ukitafuta utafahamu.

  Wanaopenda kununua gari la aina hii wasisite. Hili hapa jamvini sifahamu hali yake, sifa nilizotoa ni za ujumla wa Toyota Cresta GX100 ya mwaka 1997.
  Asanteee
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  Jul 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nimeipenda,tatizo wese....
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  KASRI umekuwa wa msaada, constructive. Asante
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Kwa yote uliyosema mimi naunga mkono 100%......Hii kitu nimekaanayo 2008-2010 Ndiyo maana nimesema naungana na wewe....ila kwa mtu yeyote mwenye kuhitaji akanunue sijamkataza...ila ni mkataba ukiwa nayo kuuza mbinde kwani wengi wanaiogopa kwa kula mafuta asikudanganye mtu ukiwa nayo mtu wakwanza nivizuri au ukawa na VVTi angalau utajikongoja ila kama umehamia bunju kazi posta na wewe siyo mfanyabiashara mkubwa ni dhahiri ujiweke tayari kutembea na kidumu kwenye buti.
   
 8. K

  KASRI Member

  #8
  Jul 10, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tarlisha;
  Kizuri kina gharama zake. Ila tusiwatishe ambao hawajawahi kuyatumia haya magari. Tofauti ya matumizi ya mafuta ni ndogo kiasi fulani. Kwa mfani Hii GX100, 6cylinder inakwenda kwa wastani wa kilomita 8-10 kwa lita (mwendo wa kawaida mjini). Spacio/Carina Si/Corona Premio and alike zinakwenda wastani wa kilomita 10-12 kwa lita (naomba kusahihishwa kama nimekosea). Ninalinganisha magari yote yaliyotumika/siyo mapya na yote yawe yanatumika hapa mjini.

  Kinachonifanya nisijutie hiyo tofauti ya matumizi ya mafuta ni utofauti wa haya magari. Unapoendesha/endeshwa ndani ya GX100 ni tofauti kabisa na unapokuwa ndani ya hayo magari niliyotaja hapo juu (Magari yote yawe ya mwaka 1999 kurudi nyuma kwenda 1996). Raha ninayoihisi inanifanya nisitamani hizo gari hapo juu (simaanishi kuwa ni mabaya bali natofautisha tu jinsi yalivyo ukiwa ndani). Wanaoyatumia na walisha wahi kutumia hayo mengine wataniunga mkono. Hii ni sawa na unapoendesha magari mengine GX110 +++, Verossa, ..... yanakufanya uhisi kule kwingine ulipoteza muda.

  Kwa kusema hayo naamini hata wale wanaotumia magari mengine makubwa (Landcruisers - V8 nk, Harrier 3.0, Hummer, etc) wanajisikia vizuri zaidi kuliko kuwa na haya madogo.

  TOFAUTI YA HIZO KILOMITA CHACHE UNAFIDIA NA BURUDANI UNAYOIPATA KWA KUTUMIA/ENDESHA GX100.


  Ni mtazamo tuuuuuuuuuuuuu
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hiyo Cresta. Will call you
   
 10. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Isije kuwa huyu KASRI na Speedo anayeuza gari ni mtu mmoja. Maana naona huyu KASRI anapigia chapuo sana hii GX 100.
   
 11. I

  ISIMAN Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni sawa mungu atupe uzima tutazungumza
   
Loading...