Eneo hilo lipo katika mtaa wa kulangwa kata ya goba imepakana na madale lina ukubwa wa ekari (3)tatu.lipo karibu na barabara ya magari ya wazo hill to madale
eneo linauzwa lote kwa ujumla hakati...
wakuu nauza laptop yangu ya HP ambayo ni pavilion g6 na ipo hivi
AMD Duo Core Processor 2.3 Ghz
3GB RAM
320GB HDD
ATI 4250 512MB Video Card
hii computer inafaa zaidi mchezea photoshop au...
Nyumba inapangishwa tabata kimanga karibu kabisa na kanisa la KKKT Kimanga.
Ina vyumba viwili vya kulala, sebure, jiko, choo na bafu. Iko ndani ya uzio wa ukuta. kwa wafugaji kuna kibanda cha...
Toyota Hilux, Engine 2.8, 3L ,non turbo, Crew cab, ipo Zanzibar, imeingia nchini na haijatumika lakini imeshasajiliwa na kulipiwa kila kitu. Picha zimenishinda kuweka lakini kwa ambae yuko...
Wakuu,
Kiwanda kipya cha chakula cha mifugo kinahitaji malighafi zifuatazo. Tafadhali leteni quotations (per tonne) mpaka kiwandani Dar es Salaam
Mahindi
Mashudu
Dagaa vumbi
Chumvi
Make Scania
Model 93 HP 280
Year 1995
Km 460.332
Bei Milioni 33
gari hiko kwenye hali nzuri, gari inayouzwa ni hicho kichwa kinachosomeka 93/280, inauzwa bila ya...
Habari wadau! Wandugu natafuta informationza za soko la dagaa wa chakula cha kuku!kwenye mikoa ya Mbeya, Iringa n.k. Soko lake likoje huko? Wanunuzi haswa ni kina nani? Wafugaji, watengenezaji au...
Napangisha kwa mkataba wa miezi sita, na kodi kwa mwezi ni tshs. 100,000/=, ina tiles ndani ya chumba na nje ya kibaraza. Ina mlango wa kioo wa kuslide
ipo mtaa wa changombe inatazama bara bara...
Kama majibu ni ndiyo tuwasiliane . tunazo apartment za kuuza katika maeneo ya kariakoo, upanga , masaki na mikocheni. pia tunayo maeneo ya kuweka ATM machine katika hayo maeneo. kwa maelezo zaidi...
hii nyumba ipo mbagala chamazi. ipo ktk eneo salama kwa makazi ya watu . kama utanunua kama ilivyo utauziwa Tsh. 25m na kama utataka ikamilike kwa kila kitu utauziwa 35m.
nyumba ina vyumba 4 vya...
Wakuu naomba kufahamu kodi za magari haya, mpk kuliweka barabarani: 2005 Toyota Mark X, 2400cc, 2004 Toyota Verossa, 2000cc, 2004 Toyota Camry, 2005 Audi A4, 2000cc. Nimeshindwa kutumia kikokitoo...
hello, nahitaji kununua a 1996-1999 toyota rav4.
must be well maintained with service records, low milage
B..onward Registration
bajeti yangu ni 9.5m
waweza ni PM
whatsapp 0787887701
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.