Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

width: 2.31 inches depth: 0.24 inches weight: 3.10 inches height: 4.86 inches capacity: 64 GB camera, photos and video: 5-megapixel iSight camera HD video recording wireless: wi-fi +...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
iphone....700000 htc desire.....500000 maelewano yapo pia!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu wadau...natafuta eneo la bar linalopangishwa sehemu yoyote jijini dar...iwe bara barani na iwe na parking...dalali kama yupo ni poa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa anaeitaji sembe super nyeupeee...kwa jumla kilo5, kilo10 na kilo 25...niPm kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iko mbezi kwa yussuf (off morogoro roard) interested person tuwasiliane kwa +255784367836. Ina: 3 bead rooms ( 1 room master), jiko, store, dinning, sebule, floor and wall tiles; ceiling gypsum...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Wakuu ninakiwanja morogoro eneo la Lugala pembezoni mwa mazimbu, eneo maarufu sana kwa kuchimba mchanga kwa sasa kuna watu wanaishi, mji yapo planned na nimeshalipia. Kinaukuba eka moja. Bei ni 4M...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wanaJF. Kama yeyote anafahamu gharama za kulevel kiwanja kwa kutumia grader naomba ushauri. Nimesikia kwamba wanacharge kwa masaa.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
habari wandugu,gari hiyo hapo juu inauza ni toyota saloon,engine ni 3s,cc 1998,mwaka 1998,bei ni wewe toa tu offer yako.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Alteza hiyo 11m,alex hiyo nyuma 10m nina harrier 19m pearl white,raum 8m vitz 7m changamkeni fasta nipigieni 0714547566 au 9767547566
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi, naomba ushauri wenu kuna mtu wangu wa karibu anauliza ni wapi anaweza kupata mitumba ya kujukua mingi kwa bei ya jumla(kujumua). amesikia kuwa henda ikawa kenya, mara zbar, mara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, Kama mjuavyo, hapa ndio nyumbani. kuna mtu ameniomba ushauri wa wapi anaweza kupata mitumba kwa bei ya jumla, amesikia kuwa pengine bei inakuwa nafuu kenya, mara zbar, mara hapa hapa...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
salam wanandugu! nahitaji nyumba ya kupanga yenye vyumba vitatu vya kulala. Maeneo ya Sinza itakua vyema zaidi na isiwe mbali sana na barabara. Msaada wenu jaman nahitaji...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Suzuki Escudo, 4WD,Manual transmission, 3 doors,Year of Manufacture 1997,Registered in TZ in 2005, Engine Capacity 1590, blue in color in an excellent condition is on Sale. The car has been under...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF! kiwanja kinauzwa bunju b kipo kwenye eneo zuri lililojengeka kwa mpangilio mzuri maji na umeme vipo, ukubwa wa kiwanja ni mita 40 kwa mita 30, bei yake ni ml.5 kwa anayehitaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza RAV 4-short Chasis, ya mwaka 1998, metalic blue in colour, imeingizwa inchini na kuanza kutumika mwezi April 2012. Imelipiwa kodi zote. Kama vp nicheki kwa namba 0713-632526.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
mwenye anabolic steroids please pm me the price and contact.,this is seriously needed urgently
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Zote ni 16 GB bila kusahau Nokia c6 slide up laki 3
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa yeyote mwenye universal moderm{moderm inayotumia lain zote} tuwasiliane kwenye 0715812160.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kipo madale maendeleo,kipo karibu na shule ya sekondari maendeleo ukubwa 30x30 bei Ml.6,500,000 hakijapimwa ni cha uhakika, serious buyers only wasiliana no 0713069631 Sent from my BlackBerry...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bei Tshs. 600,000
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom