Nyumba pamoja na uwanja ekari moja millioni 29 piga ..0763 894508 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba pamoja na uwanja ekari moja millioni 29 piga ..0763 894508

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ANDENDEKISYE C, Oct 3, 2012.

 1. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vinapatikana mbezi makabe. ukitoka kituo cha mbezi mwisho ni km tano tu.
   

  Attached Files:

 2. M

  MANAKE MKARI Senior Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kiwanja kina ukubwa gani?
   
 3. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #3
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eneo ni meter 35 kwa meter 103.
   
 4. u

  ureni JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  umeme,barabara,maji vipo?Halafu kama hamna majirani karibu vile.
   
 5. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeme upo ila maji kwa sasa bado hayajafika hapo. umeme unahitaji nguzo moja tu.
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Nina milioni 15 cash bila chenga kama vipi funguka
   
 7. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo pesa si ndogo, sema kwa thamani ya uwanja, na nyumba ndani yake kwa kweli itakuwa vigumu kupokea hiyo. ukweli ni kuwa haitaezekana kushuka mil 27 kama nitashindwa kabisa kupata kwa mil 29. maana angalia tu gharama za ujenzi huo
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Tuwekee ramani ya hiyo nyumba (floor plan inatosha kabisa)
   
 9. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  angalia attachment ya raman tayari nieweka
   

  Attached Files:

Loading...