Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

Kompyuta

Member
Jul 3, 2012
18
0
Toyota Hilux, Engine 2.8, 3L ,non turbo, Crew cab, ipo Zanzibar, imeingia nchini na haijatumika lakini imeshasajiliwa na kulipiwa kila kitu. Picha zimenishinda kuweka lakini kwa ambae yuko interested namba ni hii 0772692224. Bei Milioni 18. Gari ipo poa na kuipenda ni guarantee.
Ahsanteni waheshimiwa.

GetAttachment.aspx

Download


GetAttachment.aspx

Download


GetAttachment.aspx

Download


GetAttachment.aspx

Download


GetAttachment.aspx

Download


GetAttachment.aspx
 

Attachments

  • PICT6778.JPG
    PICT6778.JPG
    663.8 KB · Views: 109
  • PICT6779.JPG
    PICT6779.JPG
    617.9 KB · Views: 128
Toyota Hilux, Engine 2.8, 3L , Crew cab, ipo Zanzibar, imeingia nchini na haijatumika lakini imeshasajiliwa na kulipiwa kila kitu. Picha zimenishinda kuweka lakini kwa ambae yuko interested namba ni hii 0772692224. Bei Milioni 18. Gari ipo poa na kuipenda ni guarantee.
Ahsanteni waheshimiwa.
Jitahidi kuweka picha kwanza....na ndo tutajua km inapendeka ma lah?
 
Jitahidi kuweka picha kwanza....na ndo tutajua km inapendeka ma lah?

Nitajitahidi mkuu lakini nipo safarini itanichukua kama wiki sasa kama upo karibu au una mtu wako zenji mtwangie simu jamaa hapo juu ukaione mwenyewe. Nakuahidi utafurahi kama ni mtu wa Hilux. Poa
 
Toyota Hilux, Engine 2.8, 3L ,non turbo, Crew cab, ipo Zanzibar, imeingia nchini na haijatumika lakini imeshasajiliwa na kulipiwa kila kitu. Picha zimenishinda kuweka lakini kwa ambae yuko interested namba ni hii 0772692224. Bei Milioni 18. Gari ipo poa na kuipenda ni guarantee.
Ahsanteni waheshimiwa.

imetengenezwa mwaka gani?
 
Aaaah ndo ile niliyoiona kule zoom nini? Ina maana bado watu wananunua magari ya 1992, duh kweli bongo ni dampo.
 
dah maisha haya! gari ya miaka 20 iliyopita inauzwa milioni kumi na nane? dah kweli muda si muda tutageuzana!
 
Waheshimiwa tayari thread imekuwa updated kwa picha na Gari bado ipo na maelewano pia yapo kwa anaeihitaji.
Mnakaribishwa.
 
Wakuu nakumbushia tu kwamba gari bado ipo na maelewano yapo kwa yoyote ambae yupo interested just PM me au tumia number niliyoweka kwenye bandiko. Natanguliza shukrani zangu na nawashukuru sana.
 
Mkuuu mbona hizi picha ni za mwaka 2007 na gari unasema imeingia hivi karibuni au picha zimekuja kwenye gari
 
Mkuuu mbona hizi picha ni za mwaka 2007 na gari unasema imeingia hivi karibuni au picha zimekuja kwenye gari

Mkuu labda aliepiga picha ni setting mbovu ya camera yake tu (aliepiga hizo picha sio mimi binafsi) lakini paperworks zote za gari kuingia nchini zipo na kama za bongo huziamini hata za nje ya nchi zipo ukizihitajia. niko honest sana kwa hili wala ondoa shaka mheshimiwa. Asante sana kwa concern yako.
 
Wakuu hii gari bado ipo na kutokana na waliokuja kuomba kwamba ushuru wa kuvusha umepanda niipunguze, nimeamua kuipunguza bei mpaka milioni 15, lakini hiyo itakuwa bei ya mwisho kwavile wateja wa chini ya hapo tayari ninao ila haitonilipa. Ambaye yupo interested apige namba ya hapo juu au hata anaweza kuniPM kama walivyofanya baadhi ya wadau hapa. natanguliza shukrani. bei ya mwisho ni 15. Asanteni sana na mbarikiwe
 
Wakuu hii gari tayari imeshauzwa kwa wale walioniPM nawanaoendelea kuniPM , asanteni kwa kuonesha interest. Labda kwa sasa ninayo Mitsubishi Fuso, nitaweka picha karibuni bei ni Milioni 30 na ipo kule kule Zanzibar, imeingia nchini na haijatumika tangu iingie nchini. Nawashukuru sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom