Eneo la ekari tatu linauzwa madale

Eneo la ekari tatu linauzwa madale

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Eneo hilo lipo katika mtaa wa kulangwa kata ya goba imepakana na madale lina ukubwa wa ekari (3)tatu.lipo karibu na barabara ya magari ya wazo hill to madale
eneo linauzwa lote kwa ujumla hakati kwa ekari mojamoja. Bei ya jumla ni milion 45...maelewano yapo
for more info:
0655562132,
0714812375,
0784824832
0784562131.
 
Mkuu limepimwa hilo eneo?
 
Mkuu hiyo umesema wewe na utauziwaje kitu chenye mgogoro....fuata au nunua kisheria sio unatajiwa bei rahisi then unakimbilia kwenye makubaliano ya mdomo.... No no hatuendi hivyo.. Hapa mkuu serikali inakuwa involved. Kumbuka woga wako ndio umaskini wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom